Leviticus 23:23-25

Sikukuu Ya Tarumbeta

(Hesabu 29:1-6)

23 Bwana akamwambia Mose, 24 a“Waambie Waisraeli: ‘Katika siku ya kwanza ya mwezi wa saba mtakuwa na siku ya mapumziko, kusanyiko takatifu la ukumbusho litakaloadhimishwa kwa kupiga tarumbeta. 25Msifanye kazi zenu zozote za kawaida, lakini toeni sadaka kwa Bwana iliyoteketezwa kwa moto.’ ”

Copyright information for SwhNEN